
Price
Hivi ni vitana vya umeme vina kausha na kunyoosha nywele pia una weza uka ongeza moto ama kupunguza joto una lo taka ni imarasana unaweza ukatumia saloon ama nyumbani
Una weza rudiasha Kwa muda ulio pangwa Kama italeta shida na bila kufunguliwa
