
Price
Camera nzuri kwa ulinzi wa ofisini dukani na nyumbani ina camera ya juu na chini hiyo chini inazunguka nyuzi 360 kama kuna mtu anapita inamfata yaan inasense inatumia wi-fi memory na unaweza kuunga na simu ukaangalia matukio hata ukiwa nje ya Tz. Pia unaweza ukaizungusha kuangalia Kona zote kupitia simu yako lakini pia unaweza kurevew matukio ya nyuma
None
