
Price
Pendezesha muonekano wako kwa viatu vya classy na smart vinavyoendana na suti, jeans au official wear šš¾ š Available Sizes: 39 ā 46 š° Price: Tsh 160,000 tu ā Quality ya uhakika ā Smart & classy look ā Comfortable kuvaa muda mrefu š Location: Msimbazi A, Kariakoo ā Jengo la Bigbon š Call/WhatsApp: 0788941734 š© Inbox au WhatsApp kuorder sasa kabla stock haijaisha! š„ #ViatuVyaKiume #MenFashionTZ #OfficialShoes #ClassicStyle #KariakooFashion
Matino Store tunaamini kuwa huduma bora haimaliziki baada ya mteja kufanya malipo. š¤ Kama utapata changamoto yoyote kuhusu size, fitting au jambo lolote linalohusu bidhaa uliyonunua, usisite kuwasiliana nasi. Tupo tayari kukusikiliza na kukusaidia kupata suluhisho stahiki. Lengo letu si kuuza tu, bali kuhakikisha kila mteja anaridhika na anapata thamani halisi ya fedha yake. šÆ Asante kwa kuendelea kutuamini. Karibu Matino Store ā mahali ambapo huduma bora ni sehemu ya bidhaa zetu. šļøāØ
