
SMART PHONE HUB Ni Wauzaji Wa Simu Used Na Mpya Kutoka KOREA DUBAI NA JAPANI Na Pia Tunauza Accessories Za Simu Aina Zote Za Simu Na Pia Tunatengeneza Simu Aina Zote Pamoja Na Kubadilisha Vioo Vya Simu Zote Biashara Yetu Inalenga kutoa Bidhaa Nzuri Kwa Bei Nafuu Kabisa Pamoja Na Ushauri Kuhusu Aina Ya Simu Anayotaka Kununua Pia Tunahakikisha Mteja Anapata Huduma Ya Kuaminika Na Dhamana (Warranty) Kwenye Bidhaa Tunapatika Kariakoo Msimbazi Na Magila tunahudumia wateja wa jumla na rejareja. Lengo letu ni kuwa chaguo bora kwa kila mtu anayetafuta simu bora kwa bei sahihi.